Muhusika Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda) akimbembeleza muigizaji na mtayarishaji wa filamu hiyo  Bi Sarah  Nyika (Asha Mauno) mara baada ya Bodi ya Filamu Tanzania kusitizasha  usambazaji wa filamu hiyo leo. Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Vipi na yenyewe imekuja 'Kichura Chura' au....?!
    Hata hivyo ni vizuri kama kumeonekana ukiukwaji wa maadili ama kasoro zozote zile ambazo zimepelekea maamuzi ya Bodi ya Filamu Tanzani kuamuwa kuipiga 'stop' filamu hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...