SIMU.TV: Wafuasi CHADEMA wachoma nyumba. Wazee walilia uwakilishi bungeni. RC Tanga kubomoa shule za udongo Mkoani mwake. Matrafiki 53 waondolewa barabarani; https://youtu.be/4Mrtl3LG9bg

SIMU.TV: Yanga full kazi, Pluijm aja na staili ya chinja chinja Yanga. Kavumbagu atuma salamu. Majwega kazi ipo Simba; https://youtu.be/M7MynF0iqcQ

SIMU.TV: Kesi ya kuzushiwa ugonjwa Jenerali Mwamunyange yaanza kusikilizwa. Kigogo Kenya matatani kwa kumfuata Rais Magufuli; https://youtu.be/BeTdWV6KiDc

SIMU.TV: Wabunge mtegoni. Maofisa kumi wawekwa rumande Dar, Wanafunzi waliopata mimba sasa kurejea shuleni. Papa abariki kwa Kiswahili; https://youtu.be/kBEZ-mHtWGM

SIMU.TV: Jaji wa Escrow kusikiliza kesi ya ubunge wa Kafulila. Safari za ndani za vigogo siku ya UKIMWI kufutwa.Mh. MAjaliwa anamaanisha; https://youtu.be/YGX_5Ekt8g0

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...