Home
Unlabelled
Rais Magufuli amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ushauri tu:
ReplyDeleteNajua wadhifa aliopewa huo ni kwa ajili ya kutumikia Tanzania yetu bila kinyongo cha kuonekana kuwa ameshushwa cheo. Huo ni uzalendo wa hali ya juu kabisa.
Lakini huyu mama aliyebobea kisheria ana kidplomasia tungempeleka tena chuo kikuu kuwafundisha na kuwanoa wanafunzi wetu wa fani ya sheria na diplomasia. Mwalimu ni mnoaji wa wataalamu wa kesho; hii ni heshima inayopaswa kupewa haki yake.
Kwanza alishawahi kupanda cheo hadi kuwa Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na wmabalozi wote walikuwa chini yake. Zaidi alipanda na kuwa Naibu Katibu wa Umoja wa Mataifa akisimamaia matakwa ya nchi zote ulimwenguni kupitia Mabalozi wa Kududmu chini ya Mawaziri wa Nchi za Nje wote duniani.
From Deputy SG - UN, Minister of FA to Ambassador! Congratulations
ReplyDeleteTunakutakia kazi njema unapotuwakilisha katika uteuzi huu.
ReplyDeleteIkulu ya Chamwino si Ikulu ndogo. Hivi makao makuu ya serikali yako wapi?
ReplyDeleteRommel, hivi akitaka sianaweza kuchagua kozi moja anayoipenda, anayoijali zaidi, halafu akaifundisha kupitia mtandao WEBINAR popote atakapopangiwa kazi duniani?
ReplyDelete