Ndoa inayotarajiwa kufungwa inaweza kuzuiwa kwa pingamizi. Sheria ilishaweka utaratibu maalum wa kuzuia ndoa kufungwa kwa wale wenye malengo ya kufanya hivyo. Badala ya kutumia fujo ,mabaunsa na hila zisizo za kisheria kuzuia ndoa au harusi waweza kutumia njia halali ya kisheria na ukafanikiwa kuzuia ndoa kufungwa.
Fujo na hila zisizo za kisheria katika kuzuia ndoa zaweza kukuletea madhara makubwa na hata jinai. Ya nini basi ufanye hivyo wakati ipo namna halali na salama ya kuzuia .Sababu zipi unaweza kutumia kuzuia na mengine tutaona hapa chini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...