Courtesy of KTN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Pilipili usiyoila yakuwashia ninin?

    ReplyDelete
  2. I have cried for a long time for God to bless Tanzania with an Id Amin or Hitler who wont kill but only stand for people.

    Magufuli is serious with work, means business. Does not kill people. Only fires the fisadi and wavivu.

    It is true our democracy is still infant.

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa wanosema Magufuli ni dikteta na hafuati utawala wa sheria wanatumia vigezo vipi? Kimsingi Magufuli anasimamia sheria. Na ukisimamia sheria, sheira inauma, ni msumeno hukata mbele na nyuma. Kusema marafiki wa rais au makamu wa rais wanachangia na kusimamia hilo kuwa jambo jema ni ukomavu wa ufisadi mkubwa. Kuna kitu kinaitwa INVESTIVE CORRUPTION. Na hiyo ndiyo na michango ya marafiki -- UFISADI.

    ReplyDelete
  4. wakenya waacheni tu. ikumbukwe hata neno ufisadi tumetoa kwao. leo wanadai demokrasia Tanzania is just coming up! wameshasahau walijiua sana hivi karibuni na leo wapo icc. wanaongelea udikteta? basi waache icc iendelee na kesi yake wasitie shinikizo mahakama isitishe kesi hiyo! excuse me!

    ReplyDelete
  5. Ambrose Weda is an example of the corrupt family. He cannot be even honest for himself. The two gentlemen are seriously addressing the matter of being ethical as a public servant, but Ambrose seems to engulf himself to the business as usual while the Kenyans are paying more taxes.
    Such a corrupt minded person like Ambrose should be eliminated from reaching or working with public resources

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...