SIMU.TV: Maafisa ardhi 10 wa wilaya ya Kinondoni wamekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kuchelewa kufika eneo lenye mgogoro wa Ardhi. https://youtu.be/03ceWrnJtSk

SIMU.TV: Mahakama kuu kanda ya Mwanza inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga zuio la Jeshi la polisi kuaga mwili wa Marehemu Alphonce Mawazo. https://youtu.be/L8YlgPLzdso

SIMU.TV: Mwenyekiti wa ulinzi na usalama Babati Manyara aliagiza jeshi la polisi kuwakamata Viongozi kwa tuhuma za kufanya njama ya uzulumaji. https://youtu.be/aucSylfeIF4

SIMU.TV: Kamati ya afya visiwani Zanzibar imefanya ziara ya kushitukiza katika masoko ya chakula na kukuta hali ya usafi isiyoridhisha inayoweza kupelekea milipuko ya magonjwa. https://youtu.be/OKiNE6GSXqA

SIMU.TV: Chama cha soka Mkoani Geita kimeingia mkataba na aliyekuwa Kocha wa klabu ya Simba Suleiman Matola ili kukinoa kikosi hicho; https://youtu.be/SPWOhuh1Q-8

SIMU.TV: TFF ikishirikiana na FIFA imeandaa tamasha la mpira wa miguu ambalo limelenga kuhamasisha wanawake kushiriki katika mchezo huo; https://youtu.be/SvnB0bA5Dw4

SIMU.TV: Chama cha soka Mkoani Geita kimeingia mkataba na aliyekuwa Kocha wa klabu ya Simba Suleiman Matola ili kukinoa kikosi hicho;https://youtu.be/SPWOhuh1Q-8

SIMU.TV: Barcelona wamechomoza kwa ushindi wa magoli sita kwa moja dhidi ya timu ya AS Roma katika uwanja wa nyumbani kwao: https://youtu.be/MGS_ZmPAva4

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...