Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid.
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid 
 Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo.
  Rais Kikwete na watendaji  wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...