Rais Kikwete akipokea zawadi yake wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya walipoandaa  shughuli hiyo mahususi ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi Jumapili usiku.
 Mapaparazi hawakosekani kwenye shughuli kama hizi....
 Rais Kikwete akiwa na wanachama wa Jumuiya ya Kinamama wa Tanzania waishio Kenya
 RAis Kikwete akiwa na viongozi wa jumuiya
 Rais Kikwete akiwa na wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya
 Rais Kikwete akipata picha na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tunamshukuru mheshimiwa Rais Kikwete na viongozi wote waliochangia namna moja au nyingine katika kuendesha serikali ya awamu ya nne. Katika wakati huu Rais wetu anapoaga tunamtakia heri njema yeye na familia yake atakapostaafu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...