Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Natamani vieo za vituo vya televisheni Tanzania zinazotundokwa kwenye youtube na hapa globu ya jamii zingekuwa na muonekano bora kama huu wa video za BBC Swahili.

    Maana video nyingi za taarifa za habari na michezo za televisheni za Tanzania zilizopo youtube zina muonekano duni sana kama vile wanataka tuwe tunasikia sauti ya digitali tu lakini muonekano wa video huwa unatuacha watazamaji kukisia ni nini hasa tunakiona.

    Mdau
    Diaspora

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...