Afisa masoko wa  DCB Benki Hildegard Mehrab  akiwa akitoa elimu juu ya huduma wanazozitolewa  pamoja na Mikopo ya Nyumba Mikopo y Biashara,Mikopo ya wafanya kazipamoja na mikopo ya Vikundi  pia wanafungua  Akaunti za akauti ya  Akiba  akauti ya watoto na  akauti ya kampuni akauti ya kikundi.
Afisa mkaguzi wa DCB benki., Mariam Migetto, akitoa elimu juu ya huduma wanazozitowa DCB benki na Mikopo ya Nyumba, Mikopo y Biashara, Mikopo ya wafanya kazi  pamoja na mikopo ya Vikundi  pia wanafunguwa  Akaunti zifyatazo  akauti ya  Akiba  akauti ya watoto  akauti ya kampuni akauti ya kikundi .Picha na Emmanueli Massaka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...