Pichani ni Gari mbili zikijaribu kulipita lori kwenye sehemu yenye kona, huku pembeni kule wazee wa feva wakiwa hawana habari. Hapa ni nje kidogo na mji wa Same, Mkoani Kilimanjaro.
Pamoja na kuwepo na kibao cha tahadhali, lakini dereva wa gari hii hata hakujali na kuamua kulipita lori lililokuwa mbele yake.
Hivi ndivyo mambo yanavyokuwa wakati mwingine, kwenye barabara zetu.
hawa madreva ni mizingo ya nchi
ReplyDeletesasa hapa Vyombo vya usalama wanataka ushahidi gani tena kuwakamata hawa wauwaji? ajali zimeua kuliko malaria, ukimwi na ujambazi. Huu ni uhalifu na haupashwi kuvumiliwa. Actualy huyu aliepiga hizi picha anatakiwa apewe zawadi walau pesa au cheti cha kutambua kazi yake ya kufichua maovi na hii itawapa wananchi motisha ya kufichua maovu. Kila mtu ni mlinzi wa mwenzake. Nashauri Kamanda mpinga amtafute mpiga picha ampe zawadi. NGOs zinazopambana na ajali zimtafute apewe zawadi, Mamlaka ya kusimamia usafiri pia futa leseni ya hiyo Buffalo tunajua ni la Polisi kamanda wa zamani wa mkoa wa Kilimanjaro lakini lifutie leseni bila kujali na dereva akamatwe. Tutaendelea kuchinjwa na hizi ajali hadi Lini?
ReplyDelete3hapo wazee wa feva mmewaonea bure. Mctari wabarabarani kwa macho yangu unaruhusu kupita hapo
ReplyDeleteMadereva tunahitaji kuwa waangalifu barabarani ajali hizi haziui na kujeruhi tu waliomo kwenye gari, bali jamii zao zinaathirika pakubwa wanapopoteza wapendwa wao ambao wengine wao ndiyo wahimili wa familia hizi kimapato.
ReplyDeleteSomeone has to put the fear of God in these people
ReplyDeleteHii inatisha sana, na shangaa kuwa hawajauwa zaidi.
This is a problem and they say every problem has a solution.
Tanzania ni li nchi lisilo na sheria. nchi eti haina mapato mnataka vyazo vipi tena.SASA hivi kwa utanawazi huu wekeni website ya kufichua hawa waovu kwani sasa kila mtu ana kamera harafu sheria iwe exceptional watanzania tukatae rushwa eneo hili. Michuzi piga kampeni iwepo web ya kufichua hawa waharamia wa barabarani na sheria itungwe kutumia ushahidi wa hiyo web.
ReplyDeleteGHovewrnment iwa congtract wamarekani kufanya upolisi. Waone kazi!
ReplyDelete