Mwenyekiti wa maandalizi taasisi ya Kiislamu ya APICO Tanzania Ltd Habibu Masano akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO JIJINI Dar es Salaam leo, wakati wa kutoa taarifa ya uzinduzi wa Kalenda ya Kiislam itakayo tumiwa na madhehebu yote ya Dini ya Kiislam duniani,inayotarajiwa kuzinduliwa Juni 7 Mwaka huu katika viwanja vya Karimjee jijiji Dar es Salaam.
Mratibu wa taasisi ya Kiislamu ya APICO Tanzania Ltd,Abasi Said Mzeri  akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa wa maandalizi wa taasisi ya Kiislamu ya APICO Tanzania Ltd, Habibu Masano,Mjumbe wa Taasisi ya Kiislamu ya APICO Tanzania Ltd,Kalama Mkali na wa mwisho ni Mjumbe wa taasisi ya Kiislamu ya APICO Tanzania Ltd,Salumu Lukungu.PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...