Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Gari T224 C?J marine blue, wewe overtake tu hata kama lorry linakuja mbele yako.

    Hiyo ni akili gani?

    ReplyDelete
  2. Taswira hizi nzuri zinaonyesha jinsi nchi hii ilivyobarikiwa tunachtakiwa kufanya ni kuhamasishana tu kufanyia kazi raslimali hizi ili uweze kujikimu na kujiendeleza. Miaka ya nyuma walikusanywa ombaomba mijini kwa malori wakapewa ardhi Gezaulole enzi hizo japo walipokuwa wakitolewa walilalamika baada ya muda walishukuru kuwezeshwa na kuweza kujitegemea. Raslimali tumebarkiwa nazo tujiendeleze.

    ReplyDelete
  3. Hawa madereva na haya magari yamekuwaje siku hizi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...