Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akiwahutubia wanafunzi wenzake
waliosoma katika shule ya Ilboru ya Arusha katika chakula cha usiku kilichoandaliwa
rasmi kuchangia ukarabati wa majengo
mwa wiki jijini Dar es Salaam. .
Mmoja wa wahitimu wa shule hiyo akitoa mchango wake nini kifanyike ili ukarabati wa
nguvu ufanyike shuleni hapo.
Wanajumuiya ya wanafunzi waliosoma katika shule ya Ilboru wakimsikiliza Waziri wa
Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipokuwa akiwahutubia katika chakula cha hisani
cha kuchangia ukarabati majengo ya shule hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Good job!
ReplyDeletePlease let us know how we can be part of this.
Ex-Ilboru/Diaspora
visit http://www.ilborualumni.or.tz
ReplyDeleteHili swaa lakukarabati majengo ya shule kwa kutumia nguvu za waliosoma shule hizo na wafadhili wengine naliunga mkono asilimia 100% pale tunapoweza kusukuma gurudume la maendeleo mbele tuchange ili twende mbele..
ReplyDelete