Sehemu ya umati wa wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".
Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF)wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfukohuo.Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".Picha na Woinde Shizza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...