Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Kilwa Road jijini Dar es Salaam, Lucas Mgaya(wa pili kushoto) akimkabidhi kikombe mchoma nyama mkuu wa Bar Chamanzi, Shaban Seif mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya Safari Nyama Choma kitongoji cha Dar One Temeke Dar es Salaam yaliyofanyika katika Uwanja TCC Chang’ombe mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Meneja wa bia ya Safari Lger, Edith Bebwa.

Na Mwandishi Wetu.

KILWA ROAD Bar Dar One Temeke jijini Dar es Saalaam wameibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2015 yaliyofanyiaka mwishoni mwa wiki katika viwanja vya TCC Chang’ombe na hivyo kuzawadiwa Kikombe pamoja na nafasi ya kushiriki fainali za Mkoa zinazotarajiwa kufanyika Aprili 12,2015 katika viwanja vya Leaders.

Nafasi ya pili ilichukuliwa Liquid Bar ambayo kwa nafasi hiyo ilipata nafasi ya kushiriki fainali za Mkoa Leader na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Chamanzi Bar ambao pia walipata nafasi ya kushiriki fainali za Mkoa pale Leaders.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...