Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Kuhatarisha maisha ya watu tu. Is it even legal?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Burudani tu wakati mwingine acheni habari kuwa legal

      Delete
  2. If the accident did not happen it is safe and legal in the 3rd world.

    Juwa dunia ya 3 bado staarabika.

    ReplyDelete
  3. Wakome!Wanaleta mbwembwe kwenye Soka Makini

    ReplyDelete
  4. Naibu Waziri anaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    ReplyDelete
  5. ni kichekesho bongo waziri ambaye ni msimamizi mmojawapo wa sheria za nchi anakua wa kwanza kuongoza uvunjaji wa sheria hizo ..... bongo ustaarab bado sana ... tunaishi kama wanyama pori tu hatutumii akili zetu hata kidogo!

    ReplyDelete
  6. Ni kufuatana na uelewa mdogo wa baadhi ya watanzania kuhusu usalama wao.Angalia hadi mbunge yumo kwenye mkumbo wa watu wasioelewa. Hatari sana hii.

    ReplyDelete
  7. unsafe and it is totally unacceptable

    ReplyDelete
  8. health and safety inakataa na waziri yumo.vichwa vya wenda wazimu

    ReplyDelete
  9. Eti huyu mheshimiwa aliyeteuliwa na Rais naye anashabikia kuhatarisha maisha ya watu ..... mimi siyo mhandisi lakini hairuhusiwi kabisa kapakia watu katika kijiko hata siku moja , mheshimiwa naomba uwajibike kwa hili . Kuhatarisha maisha ya watu wasio na hatia .....I wapo yule jamaa anaanguka toka juu na kukanyagwa na tairi huyu Mheshimiwa angesema nini ... Jamani bongo kila kitu ni usanii tubadilike yuo should step down !

    ReplyDelete
  10. Jamani hata kama wako na Naibu Waziri ndo sheria zivunjwe na usalama kuhatarishwa namna hiyo.Wachukuliwe hatua stahiki na iwe fundisho kwa wengine.Hapo wakimwagwa na hicho kijiko tutakua tunazungumzia vifo na vilema vya maisha. kijiko kina kazi yake,hapo sii mahala pake.kamanda mpinga upo?

    ReplyDelete
  11. si mbwembwe ni ujinga ntupu

    ReplyDelete
  12. Waziri mzima huna ata akili hujui nini maana ya health and safety

    ReplyDelete
  13. Yaani Waziri anashiriki tendo la kijinga kiasi hiki. Bila shaka ana ujinga mwingine zaidi ya huu ila tu hatujaona!

    ReplyDelete
  14. Legal tena? Hayo kwenu sisi ndo stand bwana waulize Simba, shughuli yetu wanaifahamu

    ReplyDelete
  15. wako wapi askari wa usalama Tanzania. Yaani hawa jamaa wanahaki ya kushitakiwa kwa kuhatarisha maisha yao na ya watumia barabara. ushahidi wa picha hii unatosha kabisa kuwapandisha mahakamani.

    Kila siku tunalia na ajali ya barabarani halafu watu wanafanya haya. Wahusika wasipowashika na kuwashitaki nitaamini kuwa tanzania hakuna sheria

    ReplyDelete
  16. Mtalalaamika sana waadau lakini wahenga walishasema "mbwa mzee hafundishwi sheria"

    ReplyDelete
  17. Msijali wadau, mungu anatupenda ndio maana hakuna la kutokea mara zote licha ya kuwa na madudu kila kona. Mungu endelea kutubariki Watanzania.

    ReplyDelete
  18. WAADHIBIWE HAWA WOTE. VIONGOZI WAACHIE NGAZI

    ReplyDelete
  19. KWANI VYOMBO VYA USALAMA HAWAONI HAYAAA????????

    ReplyDelete
  20. MAONI YA WATU WENGINE MNAJIFANYA MNAJUA SHERIA KWANI HAMJAONA HARUSI INAENDESHWA NA GREDA NA LINAPAMNWA VIZURI TUU AU KWA KUWA NI MTU MWEUSI KAFANYA NDIO YALE KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARISHA ACHENI MAMBO YA AJABU AJABU HIZO NI MBWEMBWE TU AKA SAGA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...