Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kisheria kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Nabor Assey akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu utekelezaji wa Miongozo ya Luanda inayohusu ukamataji na ushikiliaji wa watuhumiwa kabla ya kufunguliwa mashtaka itakayosaidia kupunguza mzigo kwa seriikali katika uendeshaji wa mahabusu na magereza yenye msongamano mwingi wa watuhumiwa na wafungwa, wakati wa Mkutano leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Afisa Mawasiliano Mwandamizi kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Germanus akiongea na waandishi habari (Hawapo pichani) wakati wa Mkutano leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Elimu kwa Umma na Mafunzo wa Tume hiyo Bw. Alexander Hassan.(Picha na Hassan Silayo-MAELEZO )

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...