Familia ya Bw.BAKARI NYAMBI wa Temeke Dar es Salam wanakumbuka kifo cha baba yao mpendwa Bw.BAKARI NYAMBI kilichotokea tarehe 22.09.2014 siku ya Alhamisi na kuzikwa Ijumaa hapa DSM.Leo ni siku ya kumbukumbu yake mpendwa wetu Bakari Nyambi,kama ndugu jamaa na marafiki wa familia hiyo tunaomba kushirikiana katika kumuombea kwa mungu siku zote za maisha yetu.

Tulimpenda sana hila Mungu alimpenda zaidi (‘TUKUMBUKE MANENO WANAYOTUELEZA WAZAZI KWANI YANA FAIDA KWA MAISHA YA BAADAE HASA SHULE’ huo ndiyo ulikuwa usemi wa baba yetu mpendwa kwa vijana wake.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. POLENI SANA FAMILIA YA BAKARI,NAMFAHAMU TULIFANYA NAE KAZI AIPORT DSM.MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA.RIP BAKER

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...