Fr.
Shao wa kanisa la Katoliki Balktimore anayeongoza Parokia hiyo pamoja
na misa za Kiswahili DMV akiwa na Padre anayechukua nafasi yake
Fr.Honest Munishi Jumapili katika ibada maalum ya kumwaga Padre Shao
iliyofanyika huko Baltimore Maryland, Fr.Evoda Shao baada ya kuhudumu
kwa miaka 9 sasa anarudi kuendelea na huduma nyumbani Tanzania.
Mapadre wakiongoza ibada.
Balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Mh.Liberata Mula mula akitoa maneno ya kumuaga Fr.Evod Shao.
Mwakilishi kutoka ofisi ya Meya wa Baltimore akitoa hotuba ya kumuaga Fr.Shao.
Mwambata wa jeshi Washington Dc na Canada Kanali Adolph Mutta na mkewe wakifuatilia ibada hiyo.
Baadhi ya Watanzania waliohudhuria ibada.
Harriet Shangirai makamu rais wa Jumuiya ya watanzania -DMV akiwa na mumewe Bw.Dan, kushoto ni Brian Daudi.
Kulia Mzee Safari akiwa na mkewe.
Kulia ni katibu wa Jumuiya ya watanzania Bw.Said Mwamende.
Mwenyekiti
wa jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa nyuma yake ni naibu
katibu wa jumuiya ya watanzania Bi.Bernadeta Kaiza na mwanae.Kwa picha
zaidi ungana na http://sundayshomari.com/
Home
Unlabelled
FATHER EVOD SHAO AAGWA KWA KISHINDO BALTIMORE MD.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...