Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya Mabadiliko ya TABIANCHI kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam August 28, 2014.
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi ulio wahusisha baadhi ya Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa mambo ya nchi za nje kutoka katika baadhi ya nchi za afrika wakisikiliza hotuba kutoka kwa Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (hayupo pichani) leo jijini dar es salaam.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya baadhi ya Mawaziri waliohudhuria mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi ulio wahusisha mawaziri wa mazingira na mawaziri wa mambo ya nchi za nje kutoka katika baadhi ya nchi za Afrika leo jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohamed (katikati) na Waziri wa Mazingira wa Msumbiji, Ana Paulo Chichava baada ya kufungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya Mabadiliko ya TABIANCHI kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam August 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...