Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa
hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa watumishi wa
serikali na taasisi zake iliyofanyika jana Agosti 29, 2014 mjini
Bagamoyo, mkoa wa Pwani.
Masoko, na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, Constatina Martin, akizungumza kwenye semina ya siku moja ya
watumishi wa serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mduko huo mjini
Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ijumaa Agosti 29, 2014.
Mwanaasemina akipitia utaratibu wa semina ya siku moja ya watumishi wa
serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani, Agosti 29, 2014.
Mkurugenzi wa Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, Neema Muro, (Kulia), Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko huo,
Constatina Martin ,Katikati) na Meneja Utawala, Neema Kuwite,
wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya mkuanza semina ya siku moja
kwa watumishi wa serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mfuko huo
mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani Ijumaa Agosti 29, 2014
Meneja Masoko, na Mawasiliano, wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, Constatina Martin, (Kushoto), akiwaongoza Katibu Mkuu
wa Ofisi ya Rais Utumishi, George Yambesi, (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa
Mfuko huo, Adam Mayingu, kuelekea ukumnbi wa semina ya watumishi wa
serikali na taasisi zake mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ijumaa Agosti 29,
2014.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi, George Yambesi,
(Kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Adam Mayingu, wakati akiwasili kufungua semina ya siku moja ya watumishi
wa serikali na taasisi zake mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani Ijumaa Agosti
29, 2014.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...