Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa, Carlous Mbinda akizungumza
kwenye hafla ya kukabidhi kiti cha kubebea wagonjwa kilichotolewa
na kilichotolewa na Chama cha mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa(IPA)
katika hosptali Halimashauri ya Manispaa ya Iringa ikiwa ni sehemu ya
uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa Pool ngazi ya Mkoa yaliyoanza
jana mkoani humoyajulikanayo kama “Safari Lager Pool Competition
2014” ngazi ya Mkoa.
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Halimashauri ya Wilaya ya Iringa,
Mbaraka Mgangachuma(watatu kushoto) akipokea kiti cha kubebea
wagonjwa kilichotolewa na Chama cha mchezo wa Pool Mkoa wa
Iringa(IPA) katika hosptali hiyo jana wakati wa uzinduzi wa michezo
huo ulioanza jana mjini Iringa ujulikanao kama “Safari Lager Pool
Competition 2014” ngazi ya Mkoa.
Mganga mfawidhi wa Hospyali ya Haliamshauri ya Manispaa ya Iringa
Mbaraka Mgangachuma akipanda mmmoja wa miche iliyofikishwa
hospitalini hapo na wacheza pool wa Mkoa wa Iringa waliofika kwa
lengo la utunzaji mazingira wakati wa siku ya ufunguzi wa fainali za
mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa yajukayo kama “Safari Lager
Pool Competition 2014” ngazi ya Mkoa.
Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa, Carlous Mbinda akipanda
mmmoja wa miche iliyofikishwa hospitalini hapo na wacheza pool wa
Mkoa wa Iringa waliofika kwa lengo la utunzaji mazingira wakati wa
siku ya ufunguzi wa fainali za mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa
yajukayo kama “Safari Lager Pool Competition 2014” ngazi ya Mkoa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...