Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja 
 Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akitoa hutuba ya ufunguzi wa maonyesho hayo katika viwanja vya Mnazi mmoja  jijini Dar es Salaam.

 Chungu na kibuyu vilivyotumika na waasisi wa Muungano kuchanganya udongo mwaka 1964, vinapatikana katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais. 
 Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akiwa ndani ya Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais akipata maelekezo juu ya  chungu na vibuyu vilivyotumika kuchanganya udongo wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanziabr mwaka 1964
Wananchi mbalimbali waliojitokeza kutemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakiangalia majarida mbalimbali bandani hapo na kusaini kitabu cha wageni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hao wanaopinga Muungano ni akina nani kartika Zanizbr wakati Maalim Sif Shariff Hamad ndio huyo hapo Mgeni rasmi kwenye Sherehe za Miaka 50 ya Muungano?

    ReplyDelete
  2. hizo ni protocol za kiutawala as makamu wa rais na sio kama katibu wa CUF , usifikirie kuwa kuja hapo kutatufanya tutetereke , na ikiwa nia ya serikali kumfitinisha kwa kumfanya kuja hapo basi mmechelewa, sisi tupo pale pale serikali ya mkataba tu , aluta continua

    ReplyDelete
  3. Maalim Seif haupingi yeye anachodai ni serikali tatu ili moja ikifa kwa kifo cha kawaida zitabakia mbili-game over. hahahaaaa!

    ReplyDelete
  4. Mdau wa 2 akili yako ni ndogo sana na hujui Siasa.

    Kalaga baho, katika Siasa na Utawala hutakiwi kuwa Kigeugeu ama ku ekti kitu, unatakiwa uwe na msimamo mmoja tu.

    Kama Maalim Seif Sharrif Hamad angekuwa hakubaliani na suala la Muungano na Serikali 2 asinge thubutu kufika hapo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...