Picha hii imepigwa Africa ya kusini, katika mbuga ya wanyama ya Kruger. Hawa jamaa waonekana taaban, utafikiri wagonjwa ama nini lakini ukweli ni kwamba wamelewa. Ila Hawakunywa tembo (ha ha tembo) ila wamekula makusudi matunda ya MURULA ambayo ni kama maembe lakini yakiiva sana yalevya..Na matunda hayo ndiyo hutumika kutengeneza kilaji cha Amarula - Mdau Sauzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...